
Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ)
1. Mnauza bidhaa gani?
Tunauza vifaa vya ofisini, vifaa vya magari (car accessories), na vifaa vya kielektroniki kama power banks, waya za chaji, na vifaa vingine vya kisasa.
2. Mnafanya usafirishaji hadi mikoa yote?
Ndiyo! Tunatoa huduma ya usafirishaji kwa wateja waliopo Tanzania nzima kupitia kampuni yetu ya Kago Express.
3. Namna gani naweza kufanya oda?
Unaweza kuagiza kwa:
WhatsApp: +255 693 463777
Au DM kupitia Instagram au Facebook
4. Malipo hufanyika lini na kwa njia gani?
Malipo hufanyika kabla ya kusafirisha bidhaa, kupitia:
M-Pesa LIPA NAMBA
Lipa Namba 59051473
Jina SOKOSHOPY STORE
Kwa baadhi ya miji, tunaruhusu Malipo baada ya Kupokea Mzigo (Cash on Delivery).
5. Nitapokea bidhaa yangu baada ya muda gani?
Kwa kawaida, tunafikisha bidhaa ndani ya saa 24 tu kutegemea na mahali ulipo.
6. Je, bidhaa nikipokea ikiwa imeharibika au si sahihi nifanyeje?
Tafadhali wasiliana nasi ndani ya masaa 24 baada ya kupokea.
7. Naweza kurejesha bidhaa?
Ndiyo, bidhaa zinaweza kurejeshwa ndani ya siku 1 ikiwa hazijatumika na ziko katika hali nzuri. Gharama za kurudisha mzigo zitalipwa na mteja.